Navutiwa sana na wanawake wenye “Stretch marks “

ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
3,936
2,000
Hapa ndo utakuja kugundua harakati zao za kununua madawa kujibadilisha mionekano ni biashara

Wanawake zetu sijui wana shida gani hawajiamini kabisa sijui ndo hii mitandao wapo busy kununua dawa kuzitoa hizo,wengine kubadili rangi,wengi kuongeza shape tena hawa wa kuongeza shape siwapendi

Kila mwanaume ana taste yake ukiona wnaume hawaji ujue tabia yako ndo yakuangalia sana inawezeakan hata haihusiani ukibonge wako au mengine mengine..
 
Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,897
2,000
Kwani Chuo nini labda? Wanao nunua na wenyewe ni wastaafu wa vyuo na wana professional zao kabisa.
Don’t be brainwashed mkuu. Hiyo ni kampeni ya mabeberu kuchafua elimu yetu. Na hii kitu imekuwa ikiongelewa sana ili kuwapandikiza wasichana mbegu ya uhuni wasifanikiwe. Nina uhakika wasichana wanaofika vyuo ni wale wenye maadili na wanatoka familia zinazojitambua na wao wanajitambua hivyo nakataa kabisa msichana wa chuo kujiuza. Ila wale wanaojiuza walishaona ukisema mwanafunzi wa chuo dau linapanda. Na ujue wana mbinu nyingi, wanaweza kupanga maeneo karibu na chuo then mhusika ukija kumchukua anakuambia njoo maeneo fulani karibu na chuo na kwa ujinga unaamini ni mwanachuo.
 
Mapank

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
1,771

Yaani nyie kila kitu ni mabeberu tu, kuna konneksheni ngapi za wanafunzi wa vyuo na mbaya zaidi location ni Vyumba vya HOSTEL zetu?????
 
MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
2,100

Kwanza badilisha kauli mkuu, mimi sijanunua malaya.. amekubali by her own consent!

Jambo jengine ninalotaka kukwambia, wanachuo wanaojiuza wapo! Achana na hiyo nadharia uliyokuwa nayo kichwani ya mabeberu na kutoka familia zenye maadili.

Kama unabisha nenda Tips ( i don’t know kama nimepatia jina lenyewe coz sijawahi kufika), huko utajionea.. wapo jamaa zangu kila weekend wakienda huwa wanaondoka na wanafunzi wa UDSM.

Endelea kukaza kichwa na nadharia zako.
 
Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,897
2,000
Yaani nyie kila kitu ni mabeberu tu, kuna konneksheni ngapi za wanafunzi wa vyuo na mbaya zaidi location ni Vyumba vya HOSTEL zetu?????
No ninauhakika siyo kweli kabisa, hiyo connection ni za hao wazugaji. Nadhani serikali ilifanyie kazi huu uzushi ukome.
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
14,489
2,000
Katika moja mbili tatu ya aina za wanawake niliokutana nao kimwili, kiukweli huwa navutiwa mno na wanawake wenye michirizi ya kutanuka, kizungu wanaiita “stretch marks”.

Sio mabonge, wengine ni ma model kabisa wanakuwa nazo.

Navutiwa zaidi nikiziona kwenye maeneo ya ma.ta.cal* aisee si mchezo!

Mwanzoni mwa mwezi huu nimepata kasichana kamoja kakali cha chuo, kameenda hewani halafu ana kashape ka wastani.. siku niliyokuja kupinduka kwenye 6-kwa-5 namkuta anayo hiyo mistari pendwa! Bwaana wee!!

Mbona alielewa show!

(Attachment: Mfano wa picha, sio huyo wakuu)
View attachment 1658256Tujuzane wakulungwa wenzangu, nyie mnaelewa nini?
Ester matiko
 
Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
9,959

Sh ngapi ngapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom