Nauza WiFi adaptor

Nauza WiFi adaptor

window9

Senior Member
Joined
May 12, 2016
Posts
113
Reaction score
85
Wale wenye laptop au pc zisizo na WiFi haijalishi ni computer ya aina gani ina inakuja na CD zake kwa ajili ya driver.
9bc10b950401ad1c90b2bd3dfa15f78f.jpg
4531004049d8acfd14ddb7adca4ab5fc.jpg
.inauwezo wa kudaka na kutawanya wireless mita 300.contact 0657154954
Bei 40000
 
owk sawa mkuu,inafaa
Acha kuitikia tu, tv ikishakuwa smart means tayari inaweza kupokea internet through Wi-Fi, sasa hizo adapter zako ni kwa ajili ya pc ambazo hazina Wi-Fi. Haya kwenye smart tv hiyo driver itai install vp kwa kutumia hiyo CD???
 
Kabisaaaa mkuu! Atufafanulie hii kitu maana hizo driver huwezi kuziweka kwenye TV.
 
Acha kuitikia tu, tv ikishakuwa smart means tayari inaweza kupokea internet through Wi-Fi, sasa hizo adapter zako ni kwa ajili ya pc ambazo hazina Wi-Fi. Haya kwenye smart tv hiyo driver itai install vp kwa kutumia hiyo CD???
mkuu tatizo una kariri sana sio smart tv zote zinauwezo wa kudaka wireless internet toka mbali utakuta ni mita kadhaa tu inaishia. hii itakurahisishia kukamata mita 300 toka tv yako au device yako ilipo, hii itakuwa kama booster kwako,tuje kwa hizo driver umeuliza jinsi ya kuinstal hapa nimecheka kwa jinsi usipo jua hii bidhaa na ukaanza kubisha kama ushaitumia vile anyway ngoja nikujibu, kama ifuatavyo,hii adaptor ukitaka kwa ajili ya tv hutotumia cd yake driver.kwa nini hutotumia cd driver ni kwa sababu tv huwezi share hotspot yenyewe ina receive tu na sio kutoa internet kwenda divice nyingine,hata desktop unaweza tumia hii adaptor bila kuinstal hizo driver na kupata wireless internet zilizo karibu yako but zikiingia kwako hutowez kushare na device nyigine mpaka uinstal driver zake ndipo utaweza share na device nyingine.maamuzi ni yako mtumiaji uinstal hiyo driver au laa.kwa tv utatumia tu bila driver zake coz hii adaptor haihitaji driver ndio ifanye kazi hata yenyewe tu inapiga mzigo .asanteeee
 
Unapatikana wapi? Nahitaji kwenye smart TV yangu na ikikubali kufanya kazi unayosema ninakulipa pesa yako.
 
Ugomvi jamani eeeeeeeeee
Kwani lazima mpaka mtu awe na WIFI,kuoa ni hiari wajameni
Sasa mie WIFI yenu namuacha sasa,na talaka nne nampa.
Acheni kugombana sasa

WIFI ADAPTER INAUZWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom