Nauza vyombo vya kisasa vya jikoni

kivalue99

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
18
Reaction score
21
Nina duka la vyombo vya ndani jikoni na mapambo vya kisasa kbs mfano sufuria ambazo hazipoozeshi chakula na vingine vingi unaletea au kutumiwa ulipo bea nzr njoo Dm ukipenda
 
Sasa umeandika mwanamke jiko..nami natafuta set ya non stick pots....nami ni mwanaume.
 
Sasa umeandika mwanamke jiko..nami natafuta set ya non stick pots....nami ni mwanaume.
Haaaa haaaa mzee karibu bwana hata wanaume ila hiyo mwanamke jiko walitumia kunitangazia tu
 
Ook kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia kuna sufuria zinafanya chakula kuoza haraka m
itabidi unipe hela nikununulie kisha nikuletee maana pale kaandika mwanamke jiko na wewe sasa hutaweza kwenda dukani hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa (jokes)
 
Ushauri wa soko;kama unamzigo mkubwa tembelea mkoa wowote nenda maeneo ya wilayani tafuta wakala(awe mwalimu wa msingi/sekondari) ongea naye lugha ya biashara;mpelekee mzigo akopeshe walimu na watu wengine, we mwisho wa mwezi ni kupata marejesho.Fanya hivyo kwa mikoa mitano.Then,uje unishukuru baadaye.
 
Ushauri mzr sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…