MIMI NA TZ Senior Member Joined Apr 22, 2014 Posts 197 Reaction score 18 Oct 11, 2014 #1 Gari ya kisasa VOLTZ ya mwaka 2002 inakilometer160000 Kama unahitaji tuwasiliane Kwa 0788752672
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Oct 11, 2014 #2 gari ya kisasa..duh! we sema tu gari mkuu.
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,335 Oct 11, 2014 #3 CYBERTEQ said: gari ya kisasa..duh! we sema tu gari mkuu. Click to expand... kumbe Tanzania gari za 2002 ni za kisasa!!
CYBERTEQ said: gari ya kisasa..duh! we sema tu gari mkuu. Click to expand... kumbe Tanzania gari za 2002 ni za kisasa!!
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Oct 11, 2014 #4 Money Stunna said: kumbe Tanzania gari za 2002 ni za kisasa!! Click to expand... Tena model iliyozalishwa kwa miaka miwili tu na kuwa discontinued kwa kukosa soko, marketing kazi mkuu!
Money Stunna said: kumbe Tanzania gari za 2002 ni za kisasa!! Click to expand... Tena model iliyozalishwa kwa miaka miwili tu na kuwa discontinued kwa kukosa soko, marketing kazi mkuu!
Vitendo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 582 Reaction score 104 Oct 12, 2014 #5 MIMI NA TZ said: Gari ya kisasa VOLTZ ya mwaka 2002 inakilometer160000 Kama unahitaji tuwasiliane Kwa 0788752672View attachment 192158View attachment 192159 Click to expand... Mkuu tupe experience yako ya voltz..kwanini unaiuza.""sharing is caring.
MIMI NA TZ said: Gari ya kisasa VOLTZ ya mwaka 2002 inakilometer160000 Kama unahitaji tuwasiliane Kwa 0788752672View attachment 192158View attachment 192159 Click to expand... Mkuu tupe experience yako ya voltz..kwanini unaiuza.""sharing is caring.