Nauza viwanja: Mbezi Juu Makonde, Bunju B Mabwe, Mwongozo Block 14 Kigamboni

nauza viwanja

Member
Apr 28, 2016
5
1
Nauza viwanja: Mbezi Juu Makonde, Bunju B Mabwe, Mwongozo Block 14 Kigamboni.

Chaguo ni lako kulingana na bajeti yako.
 
1. Tuanze na Mbezi Juu Makonde: ni eneo very prime kwa hostel/apartments tayari kuna nyumba mbili zenye jumla ya vyumba 16 na msingi wa jengo la ghorofa mbili, eneo la ardhi ni sqm900. Bei Tshs 230M negotiable.

2. Hapo Bunju B Mabwe, kuna plots 5 za ukubwa wa sqm400 kila moja, bei kwa kila plot ni Tshs 7M negotiable.

3. Kigamboni Mwongozo Block 14 kuna plots mbili zimeungana jumla ya eneo lote ni sqm1476 kwa bei ya Tshs 45M negotiable. Ila kama ukitaka plot moja, basi unalipa nusu ya bei.
 
Back
Top Bottom