Nauza viwanja Kigamboni Dar es salaam

Nauza viwanja Kigamboni Dar es salaam

Apex14

Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
49
Reaction score
10
Vipo Mbutu kichangani na Cheka-Kigamboni-Dsm.
ukubwa tofauti.
30x35 na 35x70
Pia nina ekari 4 ambazo zimepimwa zina offer. bei maelewano nichek 0718 290 779
 
Vipo Mbutu kichangani na Cheka-Kigamboni-Dsm.
ukubwa tofauti.
30x35 na 35x70
Pia nina ekari 4 ambazo zimepimwa zina offer. bei maelewano nichek 0718 290 779

Taja bei za kuanzia
 
Bei za viwanja
30x35=3.8ml haijapimwa
35x70=5.5ml haijapimwa
4 ekari=155ml zimepimwa zina hati.
0718 290 779
 
Vipo Mbutu kichangani na Cheka-Kigamboni-Dsm.
ukubwa tofauti.
30x35 na 35x70
Pia nina ekari 4 ambazo zimepimwa zina offer. bei maelewano nichek 0718 290 779

Viwanja viko umbali gani toka barabara?
Umeme na maji je?
 
Bei za viwanja
30x35=3.8ml haijapimwa
35x70=5.5ml haijapimwa
4 ekari=155ml zimepimwa zina hati.
0718 290 779
Bora umekuja Mkuu, serious mara ya kwanza kwenye tangazo la November '14 hukua fair. Umenitoa Mbweni Mpaka Mbutu kwenda kuangalia Nusu heka za 3.5mil kumbe ulimaanisha robo heka, sio poa kaka!!
 
Pole shark!
kutoka feri hadi viwanja vilipo ni 20 km
 
Kaka umbali kutoka feri hadi mbutu kichangani ni km 26. Ila nimeipenda bei maana nilinunua changu kwa bei ya chini miaka 4 imepita naona bei inazidi kupanda. Hela nilitumia mkopo wa chuo siku wakianza kudai nauza nawalipa mafisadi wa nchi hii waendelee kufaidi. Ma ma e e zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom