Dar es salaam,mbele ya tegeta.bunju B ni kwa wapi mkuu
Sawa tutaongea lakin unipigie tukavione wote kwanza ukaridhike ndipo makubaliano yafuate.karibuNahitaji sana Mukuu lakini niruhusu nilipe kwa installment atleast four month...kama ombi langu liko ok nijibu hapa hata kama nitachelewa kupata i will call you sir. thank you
Sawa tutaongea lakin unipigie tukavione wote kwanza ukaridhike ndipo makubaliano yafuate.karibu
Taja Sehemu,Kusema mbele ya tegeta haimaanishi ndio Bunju,Maana mbele ya Tegeta Kuna BOKO-->BUNJU-->MAPINGA-->KEREGE-->>ZINGA--->KIDOMOLE-->>KITOPENI etc,Taja Sehemu Bunju A au Bunju B au Mingoi etcDar es salaam,mbele ya tegeta.
Kuna boko,basihaya,bunju A,sasa vyangu ni bunju B,kinondo ambapo nikisimama katika viwanja naona wazo hill au Bunju B KINONDO,karibu na wanapochimba kokoto kwa sasa.asante na karibuTaja Sehemu,Kusema mbele ya tegeta haimaanishi ndio Bunju,Maana mbele ya Tegeta Kuna BOKO-->BUNJU-->MAPINGA-->KEREGE-->>ZINGA--->KIDOMOLE-->>KITOPENI etc,Taja Sehemu Bunju A au Bunju B au Mingoi etc
Ukifika bunju b unaenda upande wa kushoto nikiwa natoka huku tegeta ni straight then nakunja kushoto.asante.Kuna boko,basihaya,bunju A,sasa vyangu ni bunju B,kinondo ambapo nikisimama katika viwanja naona wazo hill au Bunju B KINONDO,karibu na wanapochimba kokoto kwa sasa.asante na karibu
Hapana boss check hapo juu nimesema havijapimwa bado.Vimepimwa?
30 kwa 30 ni nini? meter, miguu au futi?Habari!kuna viwanja bunju B kilomita 4 toka bunju barabaran nauza milion nane ni 30 kwa 30 na kingine milion kumi ni 25 kwa 25 hiki kina msingi wa vyumba vitatu pia umeme,maji vinapatikana karibu na eneo hilo na kingine temboni saranga heka moja, milion 25,huduma za jamii zinapatikana pia,lakin vyote havijapimwa !thanks na karibuni wote,kama ukitaka kuviona check me through 0712882855,note!hakuna dalali ni vya kwangu mwenyewe.
Sema kinondo kwenye mashamba ya sumaye kulikovamiwa..napajua na pia nina sehemu hapo.Kuna boko,basihaya,bunju A,sasa vyangu ni bunju B,kinondo ambapo nikisimama katika viwanja naona wazo hill au Bunju B KINONDO,karibu na wanapochimba kokoto kwa sasa.asante na karibu
Ni miguu namanisha30 kwa 30 ni nini? meter, miguu au futi?
Sawa thanks.Sema kinondo kwenye mashamba ya sumaye kulikovamiwa..napajua na pia nina sehemu hapo.
Naweza ila samahan simu yangu nimeshindwa upload kabisa.samahan naomba no.yako niweze kukutumia hata nitafute options uvione!karibu.Hivi umeshindwa kabisa kuweka picha?
Na kama utahitaji viona karibu pia.Naweza ila samahan simu yangu nimeshindwa upload kabisa.samahan naomba no.yako niweze kukutumia hata nitafute options uvione!karibu.