Nauza gari aina ya Vitz ni ya mwaka 2001
6M ni ndogo sana kulingana na sababu zifuatazo:
Odometer bado ipo chini;
Gari bado ipo kwenye hali nzuri;
Colour ya gari ipo bomba tofati na zile rangi nyingine;
Kama ukiamua kuagiza JAPAN kwa sasa hutopata kwa bei hiyo;
Ukinunua kwenye YARD zetu za kuuzia magari hapa bongo pia huwezi kukuta bei hiyo;
Katika mauzo haya hakuna dalali mimi ndo mmiliki mwenyewe
Naweza kufanyia 7.5M
Gar hii ni fuel economy, ongeeni bishara sasa acheni stori
weka namba tuwasiliane wamichosho
Hapo mbele ilishapata mzinga kidogo au macho yangu?