Nauza vitoto vya paka

Umenikumbusha mbali sana wakati nko poland kuna mama mmja hyo ilikuwa ndy bishara yake

Ova
 
mi nilijuà unauza vitoto kitimoto
 
Hawa paka siwapendi halafu wamejazana kwa jirani wanasumbua balaa

Kero tupu

Wish I cudu kill them
 
picha ya mama yao tafadhali.... paka anauzwa ndio msishangae, kuna paka anauzwa milioni....
 
Kawauzie wachawi wawe wanawatuma mboga kwa majirani!!
 
Wanini wakuongezee gharama tu na hawana faida,maana si walinzi.wako hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…