We unatoka mi nafikiria kuingia, unauza sh ngapi, ni aina gani ya nguruwe unaouza,
la kizushi, kwa nini unataka kutoka kwenye hiyo kazi mkuu?
amegundua ni kharam
Wakuu nipo DSM nataka kubadili biashara kwahiyo nataka niuze PM.
wahi kabl zigo haujaisha.