Hii sh ngapii????Nauza hivi vito vya gold
875k,875k,21k,24k.
karibuni...
Naona bluebanda, mikono ya mtoto hivyo vipuli unauzia nyumbani?Nauza hivi vito vya gold
875k,875k,21k,24k.
karibuni...
Kila kimoja na bei yake
ndiyo ni vyangu,Nina shida na pesa nauza
Kuna Pete 3 ,Pete ipi ?
Asante kwa ushauri,hamna silver zote ni dhababu,nitaweka beiKurahisisha kazi weka uzito, % ya gold, na hiyo pembeni ni silver? Kuna Kama gemstone ni zircon? size ya pete
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurahisisha kazi weka uzito, % ya gold, na hiyo pembeni ni silver? Hapana
Kuna Kama gemstone ni zircon? Walinambia wakati nanunua Nimesahau sikumbuki
size ya pete hata sijui nilinunua tuu bila kujua size
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipati faida nauza bei ya chini kuliko niliyonunua ,nikiuza bei zaidi ya niliyonunulia kutakuwa hamna tofauti na bei ya dukaniYaani ni milioni 2 na laki tisa
Ilikukocost sh ngapi mkuu kuzipata hizo tuone faida yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio za ndoaNaona kuna Pete za ndoa nazo unaziuza?
Au wanandoa wameachana au kufariki?
Ni za send off au kitchen party?Sio za ndoa
NilinunuaNi za send off au kitchen party?
Nauza hivi vito vya gold
875k,875k,21k,24k.
karibuni...
Pete kuna ya gram 4( laki 5),gram 6( laki 6) na gram 9( laki 7)
Cheni ni laki ( 7 ).
Ukichukua vyote nakupunguzia bei karibuni kwa maongezi zaidi..