Hapana mkuu, pandaKula laki mbili Na sabini
For sureHiyo bei yako inaweza kufanya eendelee kuviikalia mwenyewe.
Huko kwenu sio wabunifu, kwetu kinyozi ndio anakaa kwa stuli mteja anapakatwaNgoja waje wa Kolomije. Sisi wa Bunju siku hizi tunakaa juu ya stuli wakati kinyozi akifanya yake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ...anapakatwa!!!Huko kwenu sio wabunifu, kwetu kinyozi ndio anakaa kwa stuli mteja unapakatwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] umetisha mamaHuko kwenu sio wabunifu, kwetu kinyozi ndio anakaa kwa stuli mteja unapakatwa
Tafadhalli utuombe radhi mkuu!!!Jaribu kutafuta watu wa kanda ya ziwa utafanikiwa
Àyaaa... afu ukute kinyozi mwenyewe ni jinsia pendwaHuko kwenu sio wabunifu, kwetu kinyozi ndio anakaa kwa stuli mteja anapakatwa
Bado vipoJe umeshaviuza viti vyako mzee?
Chukua bei hiyo mzee niliokupaBado vipo