Nauza vitenge kutoka Congo

Nauza vitenge kutoka Congo

sinyoritah

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
552
Reaction score
346
Habari wapendwa,nauza vitenge toka Congo bei 45000/=karibuni...ni pm ukihitaji unaletewa mpaka ulipo @
 

Attachments

  • 1400234716585.jpg
    1400234716585.jpg
    89.5 KB · Views: 2,293
Hiyo bei uliyoweka ni pc ngapi ? Maana nijuavyo mie toka Congo ama wenyeji wa Kigoma wao ni Tsh 27000/- kwa pc 3 ila kwa kuwa Dar pia gharama za usafiri ulizotumia.
 
Vizuri
Wewe upo wapi?
Wenginr gharama za usafirishaji tunaogopa na hatuaminiani vile hatufahamiani
Kila la kheri
 
Unaposema vitenge kutoka Congo, haitoshi bila kutaja kua ni java wax, quality wax, super wax, wax holand au Nigeria wax. Iwapo utataja aina itasaidia kuona uhalali wa bei maana kusema kua ni kitenge cha Congo haitoshi.
 
unaposema vitenge kutoka congo, haitoshi bila kutaja kua ni java wax, quality wax, super wax, wax holand au nigeria wax. Iwapo utataja aina itasaidia kuona uhalali wa bei maana kusema kua ni kitenge cha congo haitoshi.
woodin.
 
Unaposema vitenge kutoka Congo, haitoshi bila kutaja kua ni java wax, quality wax, super wax, wax holand au Nigeria wax. Iwapo utataja aina itasaidia kuona uhalali wa bei maana kusema kua ni kitenge cha Congo haitoshi.

Uniqowax,hitblockwax,hitagetwax,super wax...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom