Ndg wana JF napenda kuwatangazia kuwa nimefungua duka la cosmetics mitaa ya tabata changombe karibu na stend ya bajaji nyuma ya studio ya picha ulizia MUSSA no 0712 85 66 82...............natanguliza shukrani zangu,nawaombeni muje kuniunga mkono
usijali watakuja kukuunga mkono ila nauliza tu kwa manufaa vipodozi hivyo ni vile original au ni vya mchina? visije vikatuletea cancer ya ngozi maana tulikuwa tuna waamini wakina S.H amon tunakimbilia kule baadhi ya vipodozi zilipelekwa kwenye uchunguzi nilijuta kwenda huko sasa naliamini duka moja tu wapo toka enzi za nyerere na vitu ni original sema ni gharama sana.