Nauza ving'amzi vya Azam na Dstv, jiko la gesi na mtungi wake, na Microwave

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ving'amzi havijawahi kufungwa ni vipya, jiko na gesi ni used ila mtungi wake ni mpya na uko full gesi, na microwave ni used. Naviuza vitu vyote kwa bei ya Laki tano vitu vipo Mwanza kama una vihitaji njoo uchukukue.

View attachment 1365788View attachment 1365788View attachment 1365789
Nataka hicho cha Azam kisimbuzi na dish kwa 50, tufanye mchakato kwa sasa nikurushie hata kwa njia ya cm tuyajenge nipo Mz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom