Nauza vifaa vya Toshiba

yohas

Member
Mar 28, 2014
15
1
Nauza vifaa vya Toshiba kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0687957579
 
unauza used? mi nahitaji ram tu nitakupa 10 iwe 2gb ddr2/3
 
Mimi nahitaji RAM ya Laptop pia ya 2GB na Keyboard yake, Keyboard itakuwa sh.ngapi Mkuu?
 
Nauza vifaa vya Toshiba kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0687957579
Charger na betri bei gani mkuu...inahitajika immediately. Kila kimoja bei yake na viko wapi hapa dar
 
Mie nadhan huu uzi usomeke hiv
"Nauza vifaa baadhi vya toshiba "
Maana unaposema kitu fulan huna napata ukakasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…