nauza vifaa vya stationary

nauza vifaa vya stationary

Desmond Kamala

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
134
Reaction score
8
nauza vifaa vya stationary,mfano printer,lamination mashine,photocopy mashine kwa ujumla..mana nimefunga stationary yng..ni pm kama unahitaj
 
Mkuuu so hvo vifaa sio vyako sio


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
tangazo halijakamilika
vifaa vipo wapi?
kila kifaa bei yake au kwa ujumla ni shingi ngapi?
picha ya vifaa.
 
tangazo halijakamilika
vifaa vipo wapi?
kila kifaa bei yake au kwa ujumla ni shingi ngapi?
picha ya vifaa.


Alafu wewe kazi yako kuulizia tu maswali, hata kununua aununui, nimekusoma kwenye post nyingi watu wakiweka matangazo wanauza kitu lazima u comment pumba zako, au kila kitu kinachouzwa hapa jamii forums wewe unataka kununua, sio lazima kila kinachouzwa u comment unaweza ukapita kimya kimya….
 
Mamakibunju mbona unapaniki?
Kama tangazo halijakamilika tusiseme kisa sitanunua au nimeshacomment sana?
 
Npo bukoba..naweza nikasafirisha mzgo endapo utataka kwa ujumla..kama unahitaj ni pm tufanye biashara
 
....mi pia niongezee apo,sister yangu nae anauza Printer yake (scanner,copy&printer kwa pamoja) ,ni RICOH 5632 from German,bado mpya,alitumiwa afungue stationary but mtaji hana,bei 1.1M,iko sinza mori...kwa anayehitaji tu,nicheki apa
0755 927881..nampeleka fasta,haina udalali!
.. IMG-20140403-WA0001[1].jpgIMG-20140403-WA0002[1].jpg
 
Back
Top Bottom