Rejea kichwa cha habari.
kutokana na changamoto za uhamisho wa kikazi nimeamua kuuza vifaa vyote vya bakery vilivyopo mwanza. vifaa vyote ni vizima na vinafanya kazi kabisa.
vifaa hivyo ni kama ifuatavyo;
1.Oven kubwa la ngazi tatu (jiko la kuoka) = 2.5
2. Proover(mashine ya kuumulia)=1.m
3.Slicer(mashine ya kukatia mikate) =1.0m
4.mixer kubwa(mashine ya kukanda) =2.0m
5.mixer ndogo=1.5m
6.Cans(makopo ya mikate)=300x5000=1.5m
7.Cans za scons= 100x500=0.5m
8.Mixer kubwa ya maandazi =2m (imetengenezwa sido inatumia diesel)
9. Meza,trays, vifaa kupozea na vifaa vyote vilivyobaki =2m
JUMLA 14m
kwa mawasiliano zaidi 0713131200
Vifaa hivyo vipo Buswelu mwanza