nauza video camera ndogo

cyruss

Senior Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
196
Reaction score
40
-.........
 

Attachments

  • DSCF4053.JPG
    663.3 KB · Views: 84
  • DSCF4057.JPG
    681.9 KB · Views: 75
Hebu mjifunze kutoka kwa Marty anavyotangaza vitu vyake humu ndani kila kitu anaweka hadharani yaani kuanzia picha,model,bei na namba yake ya simu hana mambo eti uni PM na maneno mengi ya kupotezeana muda
 

mkuu nime ku pm.pia jitahidi uweke bei hadharani
 
weka bei nione kama nitaweza kununua. Au unapenda inbox yako ijae msgs?
 
Nahitaji hyo kitu nicheki hewani 0713388226
 
poa wakuu, marts nakuchek nw, jaluo nalifanyia kazi swala lako
 
nalifanyia kazi swala lako jaluo nyeup
 
hata mi nataka lakini siko tayari kukt pm weka mambo hadharani km kuna dosari tusaidiane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…