Naitwa Auson frank ni mkulima wa zao la vanilla ambalo tunafanyia kilimo mkoa wa Bukoba-Kagera ambapo tunazalisha zaidi ya tani 5 ya vanilla.
Kwa Dar es salaam tunapatikana magomeni kagera kwa atakae hitaji kuona sample ya mzigo maana mzigo upo godown bukoba atafika Magomeni Kagera na atawasiliana na sisi kupitia namba 0788988210 au 0677686957.
Vanilla tunauza kwa kila kilo kwaiyo bei yetu kwa kilo moja ya vanilla ni Tshs160,000/= . Nimeweka picha za sample za vanilla hapo chini lkn kwa maelezo zaidi naomba tuwasiliane.
Sawa ! Vanilla inatumika hasahasa kwenye kuongeza radhha katika vitu mbali mbali kama vile cake , ice cream inaongeza radha hayo ni matumizi ambayo ni yakawaida kwenye coffee sehem tofauti tofauti