Nauza used Marine boards, Mirunda

Nauza used Marine boards, Mirunda

Andre02150

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
332
Reaction score
129
Kwa yeyote anayehitaji mirunda, mbao, na marine board zilizotumika tafadhali tuwasiliane baada ya wiki 2 kuanzia leo. Marine board ziko size 18 na 12 mm. Mbao zipo size (inches): 2x2, 4x2, 1x9, na 1x 10. Bei maelewano. Vifaa vimetumika mara moja
 
Uko wapi?
 
mbao ni treated mkuu
 
bei maelewano. inabidi uje site uzione. nasafiri wiki hii hivyo next weekend mafundi watakuwa wanazifumua site. karibu
 
Back
Top Bottom