Huo ni mtizamo wa kiafrika kuwa unene ndio afya!! Ila unene sio kigezo kuwa na afya nzuri, na hatari sana, ndio maana wanakabiliwa na matatizo ya kiafya kila siku!! Na sasa watu wanaojitambua wanatumia gharama kubwa sana kuukataa unene
Usinielekeze wakati nimeishi maeneo hayo na nimeona unavyoandaliwa hadi kuna ugali wa mhogo ambao ni mchungu kuliko hata dawa za kienyeji na bado mnakula.Mimi ni mjinga kwa kuwa ugali huo sikuupenda.