Jackson nyamhanga sambai
Senior Member
- Apr 25, 2018
- 101
- 48
[emoji13] [emoji13] [emoji14]Huu unga sina hobi nao na sidhani kama kuna virutubisho vyovyote apatavyo mtu kwa kula ugali wa unga wa mhogo kwani mhogo unalowekwa majini wiki nzima kisha ukioza ndo unatolewa na kuanikwa.
That's why maeneo yote wanayotumia unga huu huwezi kumkuta mtu mnene si wanawake wala wanaume wote wamekaukiana kama mbao mfano watu wa kigoma.
Kiongozi unene sio dili.Huu unga sina hobi nao na sidhani kama kuna virutubisho vyovyote apatavyo mtu kwa kula ugali wa unga wa mhogo kwani mhogo unalowekwa majini wiki nzima kisha ukioza ndo unatolewa na kuanikwa.
That's why maeneo yote wanayotumia unga huu huwezi kumkuta mtu mnene si wanawake wala wanaume wote wamekaukiana kama mbao mfano watu wa kigoma.
kwani zaidi ya starch unatafuta nini kwenye ugali na wali ? Isije ikawa unatafuta almasi buchaniHuu unga sina hobi nao na sidhani kama kuna virutubisho vyovyote apatavyo mtu kwa kula ugali wa unga wa mhogo kwani mhogo unalowekwa majini wiki nzima kisha ukioza ndo unatolewa na kuanikwa.
That's why maeneo yote wanayotumia unga huu huwezi kumkuta mtu mnene si wanawake wala wanaume wote wamekaukiana kama mbao mfano watu wa kigoma.
Huu unga sina hobi nao na sidhani kama kuna virutubisho vyovyote apatavyo mtu kwa kula ugali wa unga wa mhogo kwani mhogo unalowekwa majini wiki nzima kisha ukioza ndo unatolewa na kuanikwa.
That's why maeneo yote wanayotumia unga huu huwezi kumkuta mtu mnene si wanawake wala wanaume wote wamekaukiana kama mbao mfano watu wa kigoma.
MkoaniHongera mwanzo mzuri,napenda unga wa muhogo..Upo mkoani au kwa wanaume wa chips yai?
Wee mla panya una matatizo! Ila kuna kaukweli fulani hivi, hata kule nakotoka mimi ugali wa mhogo ndo chakula kikuu, na kweli hakuna mijitu iliyonenepeana kama watu wa mkoa fulani ambako hakuna mhogo.[emoji13] [emoji13] [emoji14]
Heeee!! Mkuu kumbe unene ndio afya?!! Pole sana, basi kwa maishs waliyonayo wazungu wote wangekuwa ni mabonge!!! Na ni kwanini watu wengi waishio masaki wamekaukiana ukilinganisha na waishio mbagala??Huu unga sina hobi nao na sidhani kama kuna virutubisho vyovyote apatavyo mtu kwa kula ugali wa unga wa mhogo kwani mhogo unalowekwa majini wiki nzima kisha ukioza ndo unatolewa na kuanikwa.
That's why maeneo yote wanayotumia unga huu huwezi kumkuta mtu mnene si wanawake wala wanaume wote wamekaukiana kama mbao mfano watu wa kigoma.
Unalowekwa wiki nzima majini means nutrients zote hubaki majini. Mbona hao hao wakija mbeya wakila vyakula vyetu bora ukimbaumbau unawatoka.Heeee!! Mkuu kumbe unene ndio afya?!! Pole sana, basi kwa maishs waliyonayo wazungu wote wangekuwa ni mabonge!!! Na ni kwanini watu wengi waishio masaki wamekaukiana ukilinganisha na waishio mbagala??
Huo ni mtizamo wa kiafrika kuwa unene ndio afya!! Ila unene sio kigezo kuwa na afya nzuri, na hatari sana, ndio maana wanakabiliwa na matatizo ya kiafya kila siku!! Na sasa watu wanaojitambua wanatumia gharama kubwa sana kuukataa uneneUnalowekwa wiki nzima majini means nutrients zote hubaki majini. Mbona hao hao wakija mbeya wakila vyakula vyetu bora ukimbaumbau unawatoka.
Unalowekwa wiki nzima majini means nutrients zote hubaki majini. Mbona hao hao wakija mbeya wakila vyakula vyetu bora ukimbaumbau unawatoka.
Huu unga sina hobi nao na sidhani kama kuna virutubisho vyovyote apatavyo mtu kwa kula ugali wa unga wa mhogo kwani mhogo unalowekwa majini wiki nzima kisha ukioza ndo unatolewa na kuanikwa.
That's why maeneo yote wanayotumia unga huu huwezi kumkuta mtu mnene si wanawake wala wanaume wote wamekaukiana kama mbao mfano watu wa kigoma.
Kukondeana siyo dili sasa inafikia hadi watu wanakuhisi vibaya. Uwe na mwili wastani.Wanaume wa siku hizi mnapenda kunenepa miguu mashavu hadi makalio
Unene siyo afya wala wembamba siyo afya mtu uwe na figure normal isiyo na mashaka sasa kwa vimiili vyenu hivyo mnaweza kuwaweza wanawake wa mbeya wenye afya zao si mtaishia kulazwa mahututi hospital. Mwanamke mwenye afya hata watoto anakuzalia wenye afya anapokutana nawe una afya.Heeee!! Mkuu kumbe unene ndio afya?!! Pole sana, basi kwa maishs waliyonayo wazungu wote wangekuwa ni mabonge!!! Na ni kwanini watu wengi waishio masaki wamekaukiana ukilinganisha na waishio mbagala??