mkuu ufuta ukisafishwa baada kutoka shamba vumbi, mchanga, ufuta mdogo au makapi na majani hiyo ni mchanganyiko unaokuja na hili zao ufuta sasahili ndiyo tunauza ...
duh mkuu naona hata hivi vitu hujui ngoja tufanye biashara kwanza kama unasahamba njoo ununue uchafu wa karanga ... kama unashamba njoo ununue uchafu wa ufuta
duh mkuu naona hata hivi vitu hujui ngoja tufanye biashara kwanza kama unasahamba njoo ununue uchafu wa karanga ... kama unashamba njoo ununue uchafu wa ufuta
Ni yenyewe mkuu lakini unapowapa kuku unaichambua tena hii ina athari zake kwa mifugo .kwahiyo ile unmatured na zilizo pasuka sana ndio kuku wanalishwa