miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Mashudu au?
Ungeenda Jukwaa la Matangazo
wanatumia kama mbolea mashambani na taka taka za karanga ni chakula cha kuku!
asante kwa maelezo mazuri[/QUOTE
Watu wangeshangaa ushafu tena unauzwa imebidi nieleze nnachokielewa kuhusu hiyo makitu
Mabaki ya karanga ni chakula kizuri sana kwa kuku
asante kwa maelezo mazuri[/QUOTE
Watu wangeshangaa ushafu tena unauzwa imebidi nieleze nnachokielewa kuhusu hiyo makitu
Mabaki ya karanga ni chakula kizuri sana kwa kuku
naona huku wakulima amna
naona huku wakulima amna
Niletee Mimi nipo mkoa.
takataka au mashudu?wanatumia kama mbolea mashambani na taka taka za karanga ni chakula cha kuku!
Asante kwa kurekebesha maana takataka au uchafu si kitu chenye thamani hata kidogo. Kikiwa na thamani huitwa jina linalovutia. Mfano kinyeshi cha ng'ombe ni uchafu ila ukihitajika wanaita mbolea ya ng'ombeWatu wangeshangaa ushafu tena unauzwa imebidi nieleze nnachokielewa kuhusu hiyo makitu
Mabaki ya karanga ni chakula kizuri sana kwa kuku
Hii ni waste inayotokana na karanga baada ya kuchambua karanga na kuchukua ile iliyo nzuri. inayobaki sasa inakuwa na ukungu kidogo, nyingine imenyauka kidogo.Kwasababu katika soko haikubaliki ndio nnayoimaanisha .nafikiri ina maana tofauti na mashudu.takataka au mashudu?
Niletee Mimi nipo mkoa.
mkoani itaongezeka bei
Uchafu au mashudu???
mkoani itaongezeka bei
Ha ha ha ha haya bhana itabidi nilipe kiasi gani? Unaleta mwenyewe?
Ni mashudu.Wakuu habari
Nauza uchafu wa ufuta kwa tani sh 10,000 anayenhitaji anione na uchafu wa karangu 40,000 kwa tani ... uchafu huuu upo Vingunguti....
Asanteni karibuni sana
Au maganda?,hapa kama umenipotezauchafu mkuu
Huo ukungu si ndo aflatoxin ?Hii ni waste inayotokana na karanga baada ya kuchambua karanga na kuchukua ile iliyo nzuri. inayobaki sasa inakuwa na ukungu kidogo, nyingine imenyauka kidogo.Kwasababu katika soko haikubaliki ndio nnayoimaanisha .nafikiri ina maana tofauti na mashudu.