Pole sana mama ,uko wapi ? Je mwenye kuhitaji TV akupate kwa namba gani ?Ni mama nawatt wawili ninamiaka 30 ..kitu cha thamani nilichobaki nacho Ni iyo TV Tu sasa naiuza niweze kufanya biashara Na kulipa kodi naamin Mungu ataniwezesha ntanunua bdae mambo yaikaa Sawa Bora nifanye biashara watt wangu wapate kuingiza chochte kitu mdomoni ..nauza laki moja Tu nahitaj kuanzisha biashara ya kuchoka mihogo ninunue vifaa vya biashara naombeni mnunue iyo TV Ni nchi 24 watt awaelew Kama Sina kitu niokoleen jahazi ..Sina msaada Bora niuze Mali yangu Halali
Mungu atakupa kipenziPole sana mama ,uko wapi ? Je mwenye kuhitaji TV akupate kwa namba gani ?
Hiyo biashara umeifanyia uchunguzi unahisi maeneo unakoipeleka itapokelewa vyema ?
Pole sana mama ,natamani niwe na majukumu Kama yako ,yaani nione watoto wananidai kula ,kulala na kusoma ila Mungu mwema ,amini yatakaa sawa
Au Mimi na wewe tuungane tuone itakuwaje ?Mungu atakupa kipenzi
Haha haaa mimi ninae tayari nina kahandsome miaka miwili, japo ni single mother lakini namshukuru sana Mungu sina kikubwa ila angalau njia ya chooni tunaiona. hivyo naelewa anachopitia jamila ndo maana nataka nimpe karai make lipo tu halina kazi anaweza chukua akaanzia.Au Mimi na wewe tuungane tuone itakuwaje ?
vijana wa ovyo hawaachi fursa.Au Mimi na wewe tuungane tuone itakuwaje ?
Sawa mzee wa heshimavijana wa ovyo hawaachi fursa.
relax chief, ilikuwa ni utani tu. Sorry kama imekukera.Sawa mzee wa heshima
Au tuungane kumlea handsome wetu huo .Haha haaa mimi ninae tayari nina kahandsome miaka miwili, japo ni single mother lakini namshukuru sana Mungu sina kikubwa ila angalau njia ya chooni tunaiona. hivyo naelewa anachopitia jamila ndo maana nataka nimpe karai make lipo tu halina kazi anaweza chukua akaanzia.
Hapana Kaka najua ni utani mkuu ila niko serious ndugu haiwezekani naongeza idadi ya nywele nyeupe kichwani bila jiko la ndani na kitoto Cha kuwaringishia ,kataa ndoarelax chief, ilikuwa ni utani tu. Sorry kama imekukera.
Mali Halali Ni yangu nauza Na nipo nyumbani kwangu mteja utakuja kuchukua APA nyumbani nipo dar mbeziMaelezo yako hayatoshelezi!
Uko mkoa gani? Udhibitisho kwamba mali unayouza ni halali.
Aina yako ya uandishi ni kama mwanafunzi!
Hilo ndo la msingiMali Halali Ni yangu nauza Na nipo nyumbani kwangu mteja utakuja kuchukua APA nyumbani nipo dar mbezi