Nauza tv flat screen 40 inch

Nauza tv flat screen 40 inch

dume la kenge

Senior Member
Joined
Apr 12, 2017
Posts
177
Reaction score
240
Niko mwanza ila nataka nihamie nchi jirani nina flat screen ya startimes inch 40 ,ni hd nimeinunua tarehe tatu mwezi wa nane mwaka huu, kwa maana ya kwamba ndo ina mwezi moja na wiki mbili, mbezi luis ,dar karibu na round about.

Kila kitu bado kipo Nataka mtu wa kunirudishia tu hela yangu mtu anayeishi dar au mwanza ndo atanipata kwa urahisi.
3c5a8d6c79630d51d33828723d92d763.jpg
1b8a76a92e0369e5cdcb63674d22a3bc.jpg
0c00aec0aabbff2daea9aed1d391a62d.jpg
ba9a7fb59990068276270b15c4ebe0a4.jpg
tv inatumia king'amuzi cha startimes na dstv tu ina king'amuzi cha ndani bei ni 840000 kwa mtu anaishi dar ikiwa ni pamoja na nauri ya kuisafirisha kwa mtu wa mwanza ni 820000 tsh namba ya cm 0789284092
 
Jamaa Mbona kasena aina....... Rudia kusoma kwa umakini
Nimekuuliza wewe au mleta huu Uzi mwenye shida ya kuuza??
Kwani sikusoma kwa umakini hadi niulize???kataja ukubwa wake Mimi nimeuliza aina GANI nikimaanisha LG;SAMSUNG:Toshiba:au aina IPI???
 
Nimekuuliza wewe au mleta huu Uzi mwenye shida ya kuuza??
Kwani sikusoma kwa umakini hadi niulize???kataja ukubwa wake Mimi nimeuliza aina GANI nikimaanisha LG;SAMSUNG:Toshiba:au aina IPI???
Umeambiwa tv ya star times huelewi nn hapo? Namanishani tv kampuni ya star times,mwenye used anilekebishe kama nimekosea
 
Niko mwanza ila nataka nihamie nchi jirani. Nina flat screen ya startimes inch 40 ,ni hd. Nimeinunua tarehe tatu mwezi wa nane mwaka huu, kwa maana ya kwamba ndo ina mwezi moja na wiki mbili, mbezi luis ,dar karibu na round about. Kila kitu bado kipo. Nataka mtu wa kunirudishia tu hela yangu . mtu anayeishi dar au mwanza ndo atanipata kwa urahisi.
3c5a8d6c79630d51d33828723d92d763.jpg
1b8a76a92e0369e5cdcb63674d22a3bc.jpg
0c00aec0aabbff2daea9aed1d391a62d.jpg
ba9a7fb59990068276270b15c4ebe0a4.jpg
tv inatumia king'amuzi cha startimes na dstv tu. Ina king'amuzi cha ndani. Bei ni 840000 kwa mtu anaishi dar ikiwa ni pamoja na nauri ya kuisafirisha. Kwa mtu wa mwanza ni 820000 tsh. Namba ya cm 0789284092
Chukua 550k, ni Pm mkuu
 
Nimekuuliza wewe au mleta huu Uzi mwenye shida ya kuuza??
Kwani sikusoma kwa umakini hadi niulize???kataja ukubwa wake Mimi nimeuliza aina GANI nikimaanisha LG;SAMSUNG:Toshiba:au aina IPI???
Wacha kujifanya mjuaji wewe..unajifanya umeelewa kumbe bogas..umeambiwa aina ya STAR TIMES, hats picha zinaonesha..au unatumia simu ya mama
 
Actuall, nazifahamu hizi TV, ni nzuri, na kurekebisha sio tu unatumia dstv na startimes, hapana unaweza tumia king'amuzi chochote, ila iko intergrated pia na king'amuzi cha startimes!

ni ditigital tv i mean!
 
Wacha kujifanya mjuaji wewe..unajifanya umeelewa kumbe bogas..umeambiwa aina ya STAR TIMES, hats picha zinaonesha..au unatumia simu ya mama
na wewe acha ujinga km JF ya kwako
ntu asiulize?
mbona kila mkoa Ofisi za StarTimes wanaziuza hizi Flatscreen za kichina
Dodoma zinapatikana kwa 800,000/ na muda wa hewani
tunachotaka ni kujua km ni LG;SAMSUNG:Toshiba:au ndio tuchangamkie
usilazimishe biashara km Dalali
 
Khaaaa!!!! As hahahaha haha haha, duh!!! Hii ni baraa. Twende kazi, .
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom