Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,704
- 2,351
Ha ha umeona ehh ndo mana zimekosa washabiki kabisa hizo GARI!!! Siku niliyoliuza nilijiona Kama mwenye bahati Sana!!!
Progress haijakosa "mashabiki" kwa sababu ya mafuta, mi nadhani ni muundo wake tu haujakubalika na watu wengi, unaziona mark-x zilivyojaa barabarani, brevis je? Tena hizo zina bei juu kuliko brevis lakini watoto wa mjini wanazifanya daily! Inategemea tu unahitaji gari kwa sababu ya shughuli zipi, sisi kina kiguu na njia ukiwa na kabebi walker tu hakafai kitu, ukikaa kwenye kitu kizito, kifua kipana, kimekaa chini barabarani wewe ni kunyoosha mguu tu...saafi!