Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

Ha ha umeona ehh ndo mana zimekosa washabiki kabisa hizo GARI!!! Siku niliyoliuza nilijiona Kama mwenye bahati Sana!!!

Progress haijakosa "mashabiki" kwa sababu ya mafuta, mi nadhani ni muundo wake tu haujakubalika na watu wengi, unaziona mark-x zilivyojaa barabarani, brevis je? Tena hizo zina bei juu kuliko brevis lakini watoto wa mjini wanazifanya daily! Inategemea tu unahitaji gari kwa sababu ya shughuli zipi, sisi kina kiguu na njia ukiwa na kabebi walker tu hakafai kitu, ukikaa kwenye kitu kizito, kifua kipana, kimekaa chini barabarani wewe ni kunyoosha mguu tu...saafi!
 
Ni kama gari zuri hivi ila naona kama bei iko chini sana eti!!!!

Usishtuke mkuu, hiyo bei ni sawa tu kwa hiyo gari. Leo hii unaweza kuagiza Progress kutoka Japan kwa kuanzia 7M tu gari iko barabarani. Bei na ushuru wake uko chini kiasi.
 
Ni kweli kabisa full tank unafika Bukoba kutoka Dar

Duh zinauzwaje?

Ila kwa technology ya hizo progress hizo cc zinahusika Sana na fuel consumption...

Halafu Kama usemavyo nimewahi tumia brevis ulaji wake nilikua naenda mpaka 13 kms per liter but n tofauti mno kwa hizo progress....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom