B billz949 JF-Expert Member Jul 14, 2013 311 71 May 25, 2016 #1 Gari iko vizuri sana Full AC haijawahi kuguswa injini automatic cc 2490 Cheki picha ukipenda njoo tuzungumze
Gari iko vizuri sana Full AC haijawahi kuguswa injini automatic cc 2490 Cheki picha ukipenda njoo tuzungumze
B billz949 JF-Expert Member Jul 14, 2013 311 71 May 25, 2016 Thread starter #4 Ngonidema said: Gar ipo wap mkuu? Click to expand... gari iko dar kigamboni
Nkuba25 JF-Expert Member Nov 18, 2015 2,341 13,021 May 25, 2016 #5 Kutokana na kuwa cc 2490, nakushahuri uza kwa 7m.