Nauza toyota carina TI

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,944
Reaction score
810
Nauza toyota carina TI bei ni 6.2 milion namba zake ni BJG,safari zake ni kazini na nyumbani tu, picha zitakuja soon and if ur interesting just pm me.
 
Weka picha.
na unapatikana wap
 
Mkuu tuwasiliane naitaji hiyo Ti .namba zangu ni 0713 95 92 90
 
Nauza toyota carina TI bei ni 6.2 milion namba zake ni BJG,safari zake ni kazini na nyumbani tu, picha zitakuja soon and if ur interesting just pm me.

Kuna mshikaji wangu yupo interesting akupate vp maana haujaweka mawasiliano.
 
Nimetoka nje ya mji kidogo ndio sababu sikuweka namba ya simu pamoja na picha narudi kesho kutwa ndio nitaweka namba ya simu pamoja na picha mwenye kutaka kuiona tutawasiliana
 
safar zake ni kazini na nyumbani tu?au sijaelewa iyo kauli naomba mwongozo
 
Maana yake haitembei sana na inatembea weekdays tu weekend inatumika gari nyingine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…