Nauza toyota allex

Yaani limtu linasema linauza Allex linaweka picha ya Alteza mzima kweli wewe? Anyway nimemport Allex miezi michache iliyopita, mzigo hadi unatembea barabarani lazima ikutoke btn Mil 12 - 13, mimi imenitoka karibu Mil 13. Kwahiyo ukisema unauza mil 9 lazima itakuwa imechoka ndio maana hata picha unashindwa kuweka
 
Comedian.inayotoka japan ni 13m. Piga tena hesabu ya registration. Rim pamoja tairi. Na radio. Hapo ndio utajua kama hii gari ni bei poa
Mbona hujapigia hesabu za bumper, vioo, bonet, seats, belts, radiator, side mirrors etc? Au havipo!

By the way, hizi comments zinakutaka ujifunze namna sahihi ya kuweka tangazo la biashara!
 
alafu mbona picha nitofauti na maelezo / we jamaa umetumwa au ni kuvurugwa kawaida
 
Nauza gari aina ya toyota allex. Namba c. Ina rim, radio, tairi bado mpya na bado ipo bomba kabisa
IMG-20170222-WA0014.jpg
IMG-20170222-WA0009.jpg
IMG-20170222-WA0007.jpg
IMG-20170222-WA0015.jpg
 
Hanc bei hiyo haiuzwi. Bora kidogo 8.5mm naweza fikiria. Hebu muulize mtu yoyote anaejua magari kihusu toyota allex.
 
Sipo hapa kupiga debe. Allex ni gari moja nzuri sana. Mafuta ni economical na ngumu pia. Hii ni corolla modified.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom