Nauza toyota allex

Comedian.inayotoka japan ni 13m. Piga tena hesabu ya registration. Rim pamoja tairi. Na radio. Hapo ndio utajua kama hii gari ni bei poa
 
Bosi labda hujanielewa. Hiyo 120k ni 120000 km. Hizo gari show room ni 13m. Ni corolla modofied. Waulize wauza magari watakwambia



Gari yenye reg. no. CL itakuwa ilinunuliwa kati ya mwaka 2012 na 2013...maana yake ina miaka kati ya mitano na minne...!! Kama showroom ni 13m unataka kutuambia depreciation kwa miaka yote hiyo ni 4m...!!?? You can't be seriuos my bro...!!




Tafakari...!!
 
wewe utakuwa unajifunza udalali
unataka cha juu mil 3?? wewe ukipata mil 6 chukua

hiyoo altrza 5 mil ukipewa usiangalie nyuma
 
Nina shida ndo maana. Nauza basi nifanyeje lakin nisingependa kuuza
 
Allex mtu kafika 8mm nimekataa mkuu. Hizi gari ni modified corolla bro
 
Nitaweka picha za allex mda si mrefu yomboo. Naona zinagoma hapa
 
Hiyo nyingine. Nitatuma ya allex pia. Hiyo inatakiwa 7.5mm. Ni 6 na imetembea 12k pia.
Habari Pazii,

Nakushauri usiige kuandika kitu ambacho hukijui.

Kanuni ya kwanza ya muuzaji magari, anapaswa kuandika kila kitu kama kilivyo (kwa kirefu) na wala sio kuweka madoido-madoido. Hii inamsaidia mnunuzi kujua kwa uwazi details zote zinazihusu gari lake analohotaji kununua.

Pili,

Unatakiwa kupangilia maelezo yote muhimu (details na specifications) zote. Na sio kuandika kwa kifupi-fupi.


Zingatia haya niliyokuambia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom