Nauza tangawizi tani 50+

Mwankenja

Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
61
Reaction score
122
Wakuu tangawizi iliyokomaa vizuri ipo Peramiho Songea kwa sasa ila kwa makubaliano inaweza kukufikia popote ulipo nchini Tanzania.Kama kuna mmnunuzi anayehitaji kuanzia tani 5 tuwasiliane PM.
 
Wenye viwanda haya kujeni hapa. Kuna kiwanda cha viungo (spices) kipo Mbeya hebu watafute mkuu ukiwapata ni PM
 
Shukrani kwa heads up mkuu,Mbeya sehemu gani hasa maana mi mwenyeji mitaa hiyo.

Sijui wako mitaa gani ila mwezi uliopita nilikwenda sokoni nikatafuta spices zile ambazo ziko packed muuzaji mmoja akaniambia "nina hizi za mbeya kazijaribu" nikashangaa "mbeya" akanipa kopo nikaona kweli ila bahati mbaya sikuchukua ningekupatia address but ukiukizia mbeya huwezi kukosa nadhani ni kiwanda kipya sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…