astalavista JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 260 Reaction score 297 Aug 23, 2021 #1 Ni forehead, upande wa kulia. Used nje ya nchi, nilinunua kuweka kwenye gari lakini mambo yamenibana nahitaji pesa sasa. Nilinunua 150,000/= Ilala, nitajie ofa yako niisikilize. Location DAR. CALL: 0687603307
Ni forehead, upande wa kulia. Used nje ya nchi, nilinunua kuweka kwenye gari lakini mambo yamenibana nahitaji pesa sasa. Nilinunua 150,000/= Ilala, nitajie ofa yako niisikilize. Location DAR. CALL: 0687603307
Bia Ya Moto JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 1,227 Reaction score 2,815 Aug 23, 2021 #2 Tutaelewana tu na hizi Tozo..maisha yamekuwa nginja nginja..brakepads tu zinanishinda kubadilisha..
P PakavuNateleza JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 1,106 Reaction score 1,297 Aug 23, 2021 #3 hiyo umeiiba
astalavista JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 260 Reaction score 297 Aug 23, 2021 Thread starter #4 PakavuNateleza said: hiyo umeiiba Click to expand... Sawa
astalavista JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 260 Reaction score 297 Aug 23, 2021 Thread starter #5 PakavuNateleza said: hiyo umeiiba Click to expand... Inaumiza sana fahamu tu hilo. Heshimu situation ya mwingine, sio vizuri.
PakavuNateleza said: hiyo umeiiba Click to expand... Inaumiza sana fahamu tu hilo. Heshimu situation ya mwingine, sio vizuri.
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,761 Reaction score 6,042 Aug 23, 2021 #6 astalavista said: Inaumiza sana fahamu tu hilo. Heshimu situation ya mwingine, sio vizuri. Click to expand... Gari yako tunaweza iona kujiridhisha Sent using Jamii Forums mobile app
astalavista said: Inaumiza sana fahamu tu hilo. Heshimu situation ya mwingine, sio vizuri. Click to expand... Gari yako tunaweza iona kujiridhisha Sent using Jamii Forums mobile app
astalavista JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 260 Reaction score 297 Aug 23, 2021 Thread starter #7 desayi said: Gari yako tunaweza iona kujiridhisha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Serious??? Hivi nikipost RAUM yoyote hapa ndio itafuta assumption yako??? Tupunguze kujua sana Mkuu.
desayi said: Gari yako tunaweza iona kujiridhisha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Serious??? Hivi nikipost RAUM yoyote hapa ndio itafuta assumption yako??? Tupunguze kujua sana Mkuu.
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,851 Aug 23, 2021 #8 Inawezekana. Kama alinunua si angekuwa ameshabadilisha la sivyo basi auze gari kama mambo yamebana