Nauza Suzuki Carry, Used 5.6m

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
UPDATE: GARI LIMESHAPATA MTEJA

Hello wadau,

Nauza Suzuki Carry
Milage ni 110,380km
Inatembea, haina shida. Matengenezo ni vitu vidogo vidogo kwenye body.
Nimekaa nayo miaka 2
Imetumika kwa kazi za workshop, kupeleka furniture kwa wateja.

Bei ni 5.6m

Picha na taarifa zaidi, angalia attachments.

Kama una swali, acha post yako hapa, ntakujibu.

Karibu sana,

Ram

 
Uzi mlikuwa mmeususa sasa nimeufufua unaleta kibiyongo cha macho unajidai unajua biashara zaidi ya Wengine.

Kuna aina mbalimbali za kufanya kitu kiwe hai huu uzi umekuwa hai.
Kuwa serious kidogo mwenzio anafanya biashara usilete utani kwenye masuala ya msingi
 
Kwa nini umehamua kuuza? curious to know kwani humeacha kupeleka hizo bidhaa furniture kwa wateja - au gari imekusumbua ukahamua kuisukuma?
 
Kwa nini umehamua kuuza? curious to know kwani humeacha kupeleka hizo bidhaa furniture kwa wateja - au gari imekusumbua ukahamua kuisukuma?
Sipo tena kwenye biashara ya furniture kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…