Huko Ifakara sample tu, Mwanza ni jiji lakini njoo ujionee full population. Asilimia kubwa ya wajanja Mza ni makabila ya kuja
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
inaelekea unawajua sana wasukuma.hivi kwann msukuma yule pure msukuma hata awe msomi vip bado wanakuwaga washamba jaman!alafu wajuajiiii! ukisikia habari za wasukuma mi huwa nakufa kwa kucheka! ukienda mfano ifakara ukaenda mashineni ukawakuta wasukuma...akatokea kukupenda hahahaa unaomba hata gunia 5anakupa!wanahadaika wale sijui kwann!kha
Hahahaha......... Mkuu moyo wa msukuma ukishakudodondokea ni balaa utapendwa hadi ukome. Wenyewe wanasema moyo umekudodokea yaani amekupenda to the maximumhivi kwann msukuma yule pure msukuma hata awe msomi vip bado wanakuwaga washamba jaman!alafu wajuajiiii! ukisikia habari za wasukuma mi huwa nakufa kwa kucheka! ukienda mfano ifakara ukaenda mashineni ukawakuta wasukuma...akatokea kukupenda hahahaa unaomba hata gunia 5anakupa!wanahadaika wale sijui kwann!kha
Hahahaha......... Mkuu moyo wa msukuma ukishakudodondokea ni balaa utapendwa hadi ukome. Wenyewe wanasema moyo umekudodokea yaani amekupenda to the maximum
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera wikend yako imekuwa nzuri leo umekumbuka wajomba zakohaahahaha unanikumbusha mbaaaaaaaaaali!wajomba zangu!haaa raha sana
Mkuu hongera wikend yako imekuwa nzuri leo umekumbuka wajomba zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera wikend yako imekuwa nzuri leo umekumbuka wajomba zako
Sent using Jamii Forums mobile app
yalikukuta jirani ahaa karibu kihonda ...hivi kwann msukuma yule pure msukuma hata awe msomi vip bado wanakuwaga washamba jaman!alafu wajuajiiii! ukisikia habari za wasukuma mi huwa nakufa kwa kucheka! ukienda mfano ifakara ukaenda mashineni ukawakuta wasukuma...akatokea kukupenda hahahaa unaomba hata gunia 5anakupa!wanahadaika wale sijui kwann!kha
Acha kuwananga Wasukuma wana wasichana visu kweli mpaka tunapotea cheki kama @tena ukitaka uinjoy waongeleshe kisukuma nhahahah!
yalikukuta jirani ahaa karibu kihonda ...
hahahah lifestyles za kisukuma ni kichekesho toshahahahha nakuelewa sana mkuu nilikua hapo last yr hapo NATA sasa uuwiiiiiii! sijawah kununa nikiwa mwanza!
Poa kamanda karibu sanaRangi adimu ninazozipenda hzo.. nitakuibukia hapo master
Mr. No hii apa 0657438581Hauko siriaz..wapi contacts
Sawa mr. nauza bei ndogo, kutokana na hali yenyewe sasa hiv imekuwa si shwari kwa watanzania wengiUtafute na zile zenye mifuko mingi,tunapendaga sana na hivi sasa ni msimu wa pamba bado mahela ni ya kumwaga,
halafu mbona unauza bei ndogo hivyo?
hahahah lifestyles za kisukuma ni kichekesho tosha
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Asante [emoji120] ....!! Sana
hahahah lifestyles za kisukuma ni kichekesho tosha
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app