Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,630
Nataka size 30, Niko bukoba tuma chap suruali ,,6Wandugu nauza kadeti original tsh.23,000 ni za kuvutika na staff jeans (office jeans) tsh 22,000 pia jeans 18,000 pamoja na mashati na
t-shirt18,000 nipo dar es salaam ukiwa dar nakuletea ulipo namba yangu 0657438581 WhatsApp pia ipo
hizo ni baadhi ya kadet karibuniView attachment 547969View attachment 547970View attachment 547971View attachment 547972View attachment 547973
Size kuanzia 30 mpaka 40
Sawa! Mkuu ila kwa sasa ninaDondosha na masharti & t-shirt uliyonayo mzee
Karibu..! chiefNataka size 30, Niko bukoba tuma chap suruali ,,6
Nitakupata wapi mkuu, nije nichague mwenyewe... Nikisema uniletee utaleta sample moja tu. Mie nipo Ubungo[emoji816]Staff/office/soft jeans
[emoji816]Tsh 23,000
[emoji816]Zipo aina mbalimbali zingine kama jeans nyingine kama suruali
[emoji816]Hazichuji kabisaa
[emoji816]Kwa wakazi wa dar nakuletea hadi ulipo.
Nb: hii ni online shop wandugu.View attachment 1628171View attachment 1628172
Chief..!muhimu zaidi, Tuwasiliane namba yangu hii hapa 0657438581 whatsaApp na kawaida hii 0737446481.Nitakupata wapi mkuu, nije nichague mwenyewe... Nikisema uniletee utaleta sample moja tu. Mie nipo Ubungo
Mkuu ulifulia sabuni ganiMkuu niwe mkweli kadeti zako ni MBAYA na FEKI kwa kiwango kilichopitiliza, ulinileteaga tatu nimevaa hata mwezi haukupita bt hazitamaniki, FEKI, FEKI, FEKI SIJAPATA ONA, kwa wateja wapya ambao hawajui status ya products unayouza utawapata bt kamwe mtu akinunua kwako huwezi ukamuona tena, itoshe tu kukwambia ACHA UHUNI NA UBABAISHAJI.
Unataka kusema kuwa haya makadeti hayachuji?Mkuu ulifulia sabuni gani
Mkuuebu tafuta kadeti original.[emoji816]Zipo
[emoji816]Size 30-40
[emoji816]Napatikana kwa namba hizi 0657438581 hii nio ipo whatsApp pia au [emoji338]
[emoji816]0737446481 hii haipo whatsApp
Karibuni
[emoji816]dar nakuletea bure mkoani natuma kwa uaminifu mkubwa.
[emoji816]KaribuniView attachment 1623185
Aisee sawa chief.Mkuuebu tafuta kadeti original.
Hata kama utakuwa unaziuza laki 1.
Ukishazipata nitag.
Kadeti Og for 23k?Aisee sawa chief.
Ila hata hizi nazouza ni OG sijajua vigezo vyako vipoje. Tofatautisha na zile za 10k
Niambie Wewe unajua zinauzwa sh ngapi hizo Kadet zako originalKadeti Og for 23k?