loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,768
Sijatangaza mkuu na wala mm siuzi suruali, nilichoweka hapo juu ni paragraph ya ulaghai wake aliotuvuta nao nikiwemo mimi.Broo, Mimi hata simfahamu huyo aliyekuuzia hizo suruali, shida Ni kwamba unamponda suruali zake halafu wewe unatangaza za kwako is it fair!? [emoji38][emoji38]
Siuzi suruali mkuuu ila nimenukuu moja ya ulaghai wake aliotuvuta nao kabla sijaagizaKivip, na wewe unaambiwa we unauza takataka....acha watu wenye OG wauze mkuu!!
Sikuweza kujua mzee bt baada ya kuvaa mara mbili tu nikapata jibu, zipo ambazo nilinunuaga kimara duka moja hvi mwaka sasa bt mpk leo ziko poa balaa nilipoona za mwana nikasema ebu ngoja nijaribu na hizi looooHukuweza kujua Ni feki kabla ya kuvaa!?
Watu wengi hua wanapigwa kwenye kadeti sana wakidanganywa kua ni origino..
Kadeti origino kweli bei yake si mchezo!
Picha na uhalisia wa product unayoleta ni antagonistic.[emoji816]Staff jeans
[emoji816]Tsh 23,000
[emoji816]Hii material yake ni ya kuvutika kama kadeti unaweza
[emoji816]HaichujiView attachment 1611693
Weka uhalisia wa suruali zako sio unaenda kukopi picha za watu insta alafu ukiagizwa unaleta taka taka.[emoji816]Staff jeans
[emoji816]Tsh 23,000
[emoji816]Hii material yake ni ya kuvutika kama kadeti unaweza
[emoji816]HaichujiView attachment 1611693
Acha uchawi na ujue uchawi sio lazima kuwanga au kuruka na ungoWeka uhalisia wa suruali zako sio unaenda kukopi picha za watu insta alafu ukiagizwa unaleta taka taka.
Rudisha fedha yangu uliyotapeli kwa kuniuzia taka taka zako, then you will be freehivi, wewe nakushangaa ni chuki au kuna lingine. Sitaki maneno naomba achana na mimi.
Dingilai chukua hilo kama changamoto, jirekenishe usipanic kwa sababu utaharibu kila kitu. Huyu kasema haya hapa, wala usimjibu ila ukae chini uone namna gani utaondoa mapungufu haya aliyosema. Binafsi sijaona kosa kwake, kama nilivyosema usimjibu, ukimjibu hata kama jibu ni zuri utaharibu ndugu yangu.hivi, wewe nakushangaa ni chuki au kuna lingine. Sitaki maneno naomba achana na mimi.
Kwanini mkuu?
Shukrani kamanda!Dingilai chukua hilo kama changamoto, jirekenishe usipanic kwa sababu utaharibu kila kitu. Huyu kasema haya hapa, wala usimjibu ila ukae chini uone namna gani utaondoa mapungufu haya aliyosema. Binafsi sijaona kosa kwake, kama nilivyosema usimjibu, ukimjibu hata kama jibu ni zuri utaharibu ndugu yangu.
[emoji1666]
Ok sawa!Unaonekana hujanyooka malizana na jamaa kwanza. Ashanitia wasiwasi kuhusiana na ubora wa cadet zako