Nauza sungura

Nauza sungura

Political stability

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
905
Reaction score
1,410
Wakuu habari

Nauza sungura, wakubwa , Wapo sita nauza wote..
Bei ni 30000 tsh kila mmoja

Nipo Kimara, 07450 98591

IMG-20211211-WA0001.jpg
View attachment 2041484View attachment 2041483

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Unauza sunguraa sawà na bei ya mbuzi uku kwetu ,mbuzi mmoja 30000 hadi 25000 tenaa beberu,maisha ya dar kilaa ktu gharama huku kwetu sunguraa mwenye mimba 500 ,dume mia 250 ,jike asiye na mimba 200
Duuuh nchi gan hiyo?
 
Unauza sunguraa sawà na bei ya mbuzi uku kwetu ,mbuzi mmoja 30000 hadi 25000 tenaa beberu,maisha ya dar kilaa ktu gharama huku kwetu sunguraa mwenye mimba 500 ,dume mia 250 ,jike asiye na mimba 200
daaahh hii comment imechekesha kinyama.
 
Natafuta watoto wa sungura!!

Wawe wenye umri uliozid miezi 3

Idadi kubwa sana

Naombeni mwenye connection
 
Back
Top Bottom