Stendi kwa ajili ya simu/tablets, inasaidia kwa shughuli mbalimbali ikiwemo:- kuangalia movies,kurecord videos, kucheza games,video call/chart n.k, unaweza kuweka simu/tablet yako ktk position yeyote na pia inashikilia kifaa chako kikamilifu.(Kwa maelezo zaidi bonyeza link itakupeleka kwenye VIDEO) KARIBUNI SANA.