Nauza stapler

Nauza stapler

Mwamsiku

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
66
Reaction score
14
Habarini wana JF niende moja kwa moja tu,

Jamani nauza heavy duty stapler mpya kabisa nilinunua kwajili ya kufungua office yangu sasa naona mambo yamenikalia ndivyo sivyo nazani mnaelewa.

Nimeamua kula hasara, dukani inauzwa laki na sitini.

Binafsi nataka laki tu! Napatika Zakhem.

Kwa mawasiliano piga 0712762050

15770f5b80b93d0614e57225ce4468b4.jpg

0772006b45cfe12ea94842982f369bc0.jpg
a1a349e460190992203f3c25032e17fa.jpg


784ede28aa84ce9cf0db5c6fb05d2ce2.jpg
 
Kama ulinunua laki na sitini basi ulipipigwa, kila la kheri kwenye kuuza
 
Nenda chato kawakamate wasukuma washamba ndo uwauzie hiyo bei
 
Kuna kitu kimoja wabongo wako Na shida kitu ukitangaza kuuza wao ni kucrash tyyu ...kama ww ulinunua 30 ,20ngap n ww na mahari ulipo nunulia na ubora wa bidhaa ulio nunua sio unazungumza tyuu usicho kijua ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom