Hauna kabati la chips?Waungwana wa JF nauza vitu tajwa hapo juu, pia viko kwenye picha ..sofa ni Tsh 500,000 tu kwa zote tatu, na vyombo vya biashara ya chakula ni Tsh 1000,000 nimeatach list ya vitu hapo chini. vitu vipo Ubungo Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi phone No,0713 418 321
Biashara ngumu mkuu,watu tunauza tukalime tuMkuu kwanini unaviuza?
Umebanwa na shida au unahama mji?
Sijui umri wako upoje ila naamin wewe ni kijana
Na naona kabisa vitu hivyo ni muhimu sana kwako in terms of ujasiliamali
Anyway Goodluck mkuu
Naamin utapata mteja ambaye hatakulalia
Biashara ngumu mkuu,watu tunauza tukalime tu
Asante sana kwa ushauri wako mzuri!Biashara unafanyia wapi mkuu?
Nini hasa kimekushinda?
Kwanini usibadilishe mazingira
Kuna wanaofeli katika kilimo vipi na huko ukifeli utahamia kwenye kuku au
Nakushauri simamia ulichokianzisha ukipita kwenye changamoto ndo mwanzo wa ku-win.
Nahitaji kabati la chipsUkipata wateja wengi,nishtue maana nami ninauza vya kwangu!
Karibu,naliuza 150,000/=Nahitaji kabati la chips
Bei haipunguiKaribu,naliuza 150,000/=
Okey poa poa bosi,Asante sana kwa ushauri wako mzuri!
Ila nimeamua kufanya mambo mengine na endapo yatakwama nitajaribu kitu kingine mpaka nipate jawabu la maisha yangu
Nipe 135,000/=Bei haipungui
Hamna EverynHauna kabati la chips?
Bei ya vyote nimewaka pale juu guys, manake nauza vyote kwa jumla si kimoja kimoja
Nimeona orodha bila bei, ungeweka bei ni rahisi kwa mtu kuamua kama anaweza kununua ama la
Punguza maswali kwa kukamilisha maelezo