Frankdaniel711
JF-Expert Member
- Oct 8, 2018
- 366
- 140
1) Hili neno "LEITHER kwa kua ni la kizungu ungetafuta kwanza jinsi linavyoandikwa ndo ulipostHabari Nina sofa naziuza LA MTU 1, 2 ,3 nauza zote kwa laki 600,000 maongezi yapo njoo na usafiri wako ubebe nipo viwege dar es salaam nipigie kama unaitaji 0677423349 na kama kuna mtu anaitaji sofa moja pia naomba tuwasiliane Asante sanaView attachment 1524056View attachment 1524057View attachment 1524058
Kwani sinimetoa namba za simu tuna elekezana viwege unapita majoe kisha ndio viwege ndio mana nimetoa namba za simu1) Hili neno "LEITHER kwa kua ni la kizungu ungetafuta kwanza jinsi linavyoandikwa ndo ulipost
2) Sio kila mtu anajua VIWEGE ilipo
Ilo leither alina shida naweza lifuta pia uwenda ata isijulikane1) Hili neno "LEITHER kwa kua ni la kizungu ungetafuta kwanza jinsi linavyoandikwa ndo ulipost
2) Sio kila mtu anajua VIWEGE ilipo
Kama kuna alie elewa kaelewa tuKwani sinimetoa namba za simu tuna elekezana viwege unapita majoe kisha ndio viwege ndio mana nimetoa namba za simu
Mpaka mtu aje aelewe kua Viwege ni njia ya Majohe tayar ashapiga simu na kupoteza Muda + Salio.Kwani sinimetoa namba za simu tuna elekezana viwege unapita majoe kisha ndio viwege ndio mana nimetoa namba za simu
Atue namba za simu nitampigia kama shida ni salioMpaka mtu aje aelewe kua Viwege ni njia ya Majohe tayar ashapiga simu na kupoteza Muda + Salio.
Wakati kupitia hapa tu tayari atajua kua njia ya huko ni muafaka au sio muafaka kwake hivyo apige au asipige
NdioShida haina adabu
Ngoja nielekeze na bado nitambiwa apajulikaniMpaka mtu aje aelewe kua Viwege ni njia ya Majohe tayar ashapiga simu na kupoteza Muda + Salio.
Wakati kupitia hapa tu tayari atajua kua njia ya huko ni muafaka au sio muafaka kwake hivyo apige au asipige
Mkuu kwani kuna mtu kabeba namba za simu kichwani mpaka ATUE 😎?Atue namba za simu nitampigia kama shida ni salio
Pole mkuuNdio
Kawaida tuPole mkuu
Sikukujibu wewe kuna alie sema kupiga simu kuna maliza salio na mudaMkuu kwani kuna mtu kabeba namba za simu kichwani mpaka ATUE [emoji41]?
Yakopoa sana tu, sawaYako poa boss.
Ngoja wake wanunuzi !