matatizo ya kuanza biashara uzeeni! ! hivi utafanyaje biashara bila kueleza upo wap. na je simu mpya au used pamoja na namba zako.na ata kuweka picha. kwa mtindo huu jumuiya ya afrika mashariki tutaachwa nyuma.