mandela mkono
Member
- Mar 10, 2012
- 5
- 0
Nauza samsung s5233a ni orginal pia ni touch screen kama huifaham unaweza kuicheki kupitia google bei ni tsh110,000. kwa halie tayari tuwasiliane kupitia 0754677877 Mie niko mwanza.
Ina scratches? Betri inakaa muda gani? Kama ina complications zozote notify...
Kula 80,000 mzazi
Kama unajipangia bei na conditions zako kanunue dukani
We ndio muuzaji nini bingwa!!!!!!.. Hata dukani there'z bargaining.
Afterall kitu kikishatumika ni vzr kujua kipo ktk hali gani..
When you wholeheartedly adopt a "with all your heart" attitude and go out with the positive principle, you can do incredible things."
Nauza simu aina ya HTC Desire 4G,imetumika ingawa ipo ktk hali nzuri sana.Bei ni Tsh 600,000/.
Kama unahitaji, PM kwangu.
Mwanzisha mada samahani kwa kuingilia uzi wako.
we mtu anauza kitu na ameshatangaza mpaka bei ya mwisho sh. 95 elfu.
wewe umeshindwa nini kubandika tangazo lako?au ngoja nikusaidie kuli copy na kuli paste mbele hapo, nipe details zake mkuu