Nauza simu yangu nipate hela ya kujikimu

Nauza simu yangu nipate hela ya kujikimu

Bhikukalala

Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza hali imezidi ngumu sana nimeshindwa tu kuomba lakini nahitaji msaada wenu nauza simu yangu aina ya sSamsung s4.

Nimeitumia mda wa mwezi mmoja. Nahitaji nilipe hostel na kuendeleza maisha hapa chuoni nimepata dharura.

Namba yangu ni 0629267334..
 
Usharobaro mbaya sana,unanunua simu ya pesa mingi hata wazazi wako hawana,ulidhani simu ya pesa mingi kama hiyo inazaa pesa?
Utaiuza kwa bei ya chini kuliko uliyonunua,na inawezekana ulishikishwa mchina a.k.a clone.
Pole yako dogo.
[

QUOTE=Bhikukalala;14887173]Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza hali imezidi ngumu sana nimeshindwa tu kuomba lakini nahitaji msaada wenu nauza simu yangu aina ya sSamsung s4.

Nimeitumia mda wa mwezi mmoja. Nahitaji nilipe hostel na kuendeleza maisha hapa chuoni nimepata dharura.

Namba yangu ni 0629267334..
[/QUOTE]
 
hiyo cm nahisi baada ya boom tu ukanunua at ze end....
 
Back
Top Bottom