Nauza simu ya TECNO H6

Nauza simu ya TECNO H6

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,123
Reaction score
2,444
Nauza simu ya TECNO H6 bei ni 200,000 simu nimetumia mwezi mmoja na bado ipo na recept yake na warrant. Kwa mawasiliano nicheki kwa 0713415537
 
Mkuu Zipo mpaka feki ila kaulizie Kwenye maduka ya uhakika.. Na hiyo labda kariakoo

hakuna cha fake labda ukubali ulipigwa umetumia mwez unauza lak2 inaonekana umenunua hta 250k sasa humu wajanja wengi kwa bei hyo subir pesa za escrow zirudishwe kwanza.
 
mm juzi nimeuza laki 1.30. na ilikua haina tatizo, w subur mkuu utauza laki 3
si unataka faida kuliko wanazouza dukan
 
Wew hiyo bei unayosema utakuwa umeshikwa masikio..h6 mpya ni 180 sasa ushatumia bado unakomaa 200 endelea kukaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom