Ndugu zangu Nina simu nauza ila ni ya mkopo. Imebakiza miezi mitatu kumaliza. Ni Infinix smart 7+. Nina dharura na Sina kitu kingine Cha ziada. Anaeweza kunisaidia kuinunua naomba tuwasiliane please.
Picha inakuwa ngumu kupiga bosi maana Sina simu nyingine pembeni. Ila ipo katika Hali nzuri kabisa. Haina tatizo lolote hata chembe. Ina Hali ya upya kabisa.