Nauza simu touch screen

Nauza simu touch screen

Traviana Tray

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
546
Reaction score
457
Habari zenu? Nauza simu touch screen model:it1408. haijachoka wala haina mkwaruzo wowote;
.Ina screeun protector
.ina cover yake
.ina charge yake
.ina ear phone yake
NB:Ina play store,WhatsApp,opera mini nk.una rusiwa kuikagua tukionana na ukiwa tayari kununua.BEI ni tsh 150,000 UKIWA SERIOUS ni PM
 
weka picha.
 
tangazo la simu mwaka 2010 mnadani tena…..
Simu ina bluetooth
Seem ya kuweka memor
kava lake
fm radio
GPRS
Njoo PM nikuuzie simu yako dada
 
tangazo la simu mwaka 2010 mnadani tena…..
Simu ina bluetooth
Seem ya kuweka memor
kava lake
fm radio
GPRS
Njoo PM nikuuzie simu yako dada
Hii ni kwa muhitaji kama huna hela kaa pembeni.pia sihitaji msaada wa kuuziwa we tafta hela zako kwa style yako sio udalali.
 
Back
Top Bottom